Hivi Mzee Kikwete aliwezaje kuajiri Walimu na Madakatari wote waliohitimu mwaka husika?

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
2,347
3,641
Kipindi cha Mzee Jakaya Kikwete haijawahi kutokea aliywsomea Ualimua au Udaktari akakosa ajira. Tulikuwa tunaajiriwa tena bila kuomba unashtukia tu umepangwa mkoa husika.

Sasa hii mbinu ya jk ilikuwaje ikamshinda jpm na kwa nini hakupa lecture kw mwamba huyu ambaye ki ukweli ndo rais mwenye maarifa haijawahi tokea
 
Jiulize pia serikali ya Nyerere iliwezaje kuajiri wasomi wote waliomaliza vyuo ??
 
Kipindi cha Mzee Jakaya Kikwete haijawahi kutokea aliywsomea Ualimua au Udaktari akakosa ajira. Tulikuwa tunaajiriwa tena bila kuomba unashtukia tu umepangwa mkoa husika.

Sasa hii mbinu ya jk ilikuwaje ikamshinda jpm na kwa nini hakupa lecture kw mwamba huyu ambaye ki ukweli ndo rais mwenye maarifa haijawahi tokea
Kila siku story hiyo hiyo kupmpigia promo, madawa ya kulevya yalishamiri sana, acha ungese
 
Yawezekana ulikuwa mdogo kipindi hicho, iko hivi uhitaji kipindi hicho ulikuwa mkubwa sana wasomi walikuwa wachache. Serikali ilijenga shule za kata hivyo demand ya walimu ilikuwa juu sana
 
Kikwete kipindi chake shule za kata ndio kwanza zilikuwa zinajengwa. Uhaba wa walimu ulikuwa mkubwa kupindukia, kabla hakuna graduates wa BaED tiyari wanapigiwa mahesabu wakazibe viraka wapi.

Sensa ya mwaka 2012 Tanzania ilikuwa na watu milioni 45. Sensa ya 2022 Tanzania watu milioni 60. Bajeti ya kujenga shule na hospitali, afya, chanjo ni kubwa zaidi. Vipaumbele vimehama kutoka kuajiri kwenye upungufu na sasa vipaumbele rasmi vya awamu ya sita bado maana mzigo ulioachwa na awamu ya tano ni mkubwa na unatugharimu sana kwa bajeti na fedha za kigeni. Awamu ya tano ilikazania ujenzi wa miundombinu, flyovers, SGR, bwawa, madaraja, mji mkuu, n.k.
 
Back
Top Bottom