Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,335
- 9,673
Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??
Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??
Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??
AVN ni zaidi ya chetii.Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??
oooooh, okayAVN ni zaidi ya chetii.
Fresh tu unasajiliwa.
Ata trancript huna meneja?
Sio mimi, kuna kijana wa jirani yangu ndio kachagulia kwenda chuo kikuu akitokea diploma.Fanya upate transcript za online ukaprint avn inaishia online application
Sasa amechaguliwa vp kwenda chuo bila kuwa na AVN/transcript.?Sio mimi, kuna kijana wa jirani yangu ndio kachagulia kwenda chuo kikuu akitokea diploma.