Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,115
- 11,656
Wakuu mwenye taarifa rasmi kutoka BAKWATA kama mwezi umeonekana ama la. Wengine hatutaki ugomvi na mabos wetu kesho.
Haya mambo yanachanganya sana ,Bila shaka kesho ni idd kama waswal sunh wamesheherekea leo
Kwanini wasitumie telescopes?Wakuu mwenye taarifa rasmi kutoka BAKWATA kama mwezi umeonekana ama la. Wengine hatutaki ugomvi na mabos wetu kesho.
Kabisa...Kwakweli jamani watuambie tujue
Nakumbuka samia aliwahi kuwauliza bakwata wanataka awasaidie nn ili kurahisisha mambo yao, mufti akaomba telescope 😂 sasa cjui walipewa au vp wakati huu ndo ina matumiziKwanini wasitumie telescopes?
Na hivi leo mawingu nchi nzima wanaweza wakalaza tena sikukuu
Wanaweza kugeukana wakasema yatakiwa yaone macho makavu siyo chomboNakumbuka samia aliwahi kuwauliza bakwata wanataka awasaidie nn ili kurahisisha mambo yao, mufti akaomba telescope 😂 sasa cjui walipewa au vp wakati huu ndo ina matumizi