Anonymous
Senior Member
- Apr 6, 2006
- 118
- 339
Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.
Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.
Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.
i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!
il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.
iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.
iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.
v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?
vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!
vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.
viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.
ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?
Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.
Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.
Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.
Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.