Ni kawaida ya viongozi wengi duniani kuwatumia wananchi wao heri ya Mwaka Mpya na kuwaambia wananchi nini wategemee kwa mwaka unaofuata ........... mpaka sasa nimefuatilia JF na magazeti mtandaoni kusikia Rais wetu mpendwa JPM amesema nini sijaona kitu. Au ndiyo HAPA KAZI TU hamna longolongo siyo!!
Wenye habari tujuzeni ............!!