Hivi kweli JKU ni ya kucheza Ligi ya Mabingwa?

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,857
6,382
Yaani kisa tu ni haki ya Zanzibar kama nchi. Timu ya JKU inafungwa hata na timu ya mitaani kwangu Karagwe.

Kwahiyo JKU inajiona kwasasa ipo juu kuliko Simba ambayo ipo Shirikisho.

Timu ya JKU imeanza kinyonge Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza wa nyumbani dhidi ya Pyramids kwa mabao 6-0 uliochezwa kwenye uwanja wa June 30 uliopo Misri.

Soma Pia: Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024

SIASA HIZI!!!!
 
Sidhani wana hilo wazo la kukua kisoka na kufanya vizuri. Yaani wao fahari yao ni kutambulika tu kama nchi. Ndio maana hata wafungwe goli 20 hawaumii
Kufungwa ni ishu ya uwezo, hata simba na yanga tulitoka huko kwenye kufungwa goli nyingi. Sio kupenda kwetu ilikuwa ni kuzidiwa uwezo.
 
Yaani kisa tu ni haki ya Zanzibar kama nchi. Timu ambayo inafungwa hata na timu ya mitaani kwangu Karagwe.

Kwahiyo JKU inajiona kwasasa ipo juu kuliko Simba ambayo ipo Shirikisho.

SIASA HIZI!!!!
Pyramids sio timu ya mtaani mkuu,kama ulikusudia pyramids.
Maana hata kihistoria pyramids ina historia kubwa ki CAF kuliko simba na Yanga.
 
Back
Top Bottom