Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,228
- 2,148
Wakuu habar za mchana.
Kuna kipindi niliwahi kusikia watu wanatumia mtandao wa Desi(Kama nimekosea nirekebishwe) huu mtandao sijui ulikuwa una operate vp lakini nilisikia ilikuwa ni uwekezaji ambao ulikuwa unarudisha faida. Watu walipiga sana pesa lakini baadae ukaja kusababisha vilio, mtandao ulikuja kuzimwa na watu wakapoteza pesa nyingi.
Sasa hivi naona Kuna mtandao unaitwa VGM Kama ukifwatilia unaona ni Aina ile ile ya kupiga pesa, cfaham namna Desi ilivyokuwa inafanyq kazi, Ila Hawa watu, wana kampuni ya kulaiki muvi then Kuna kiasi cha pesa unaingiziwa Kama reward ambacho kinalingana na kiasi cha pesa ulichoanza nacho Kama mtaji.
Watu naona wanapiga pesa na wafuasi wanazidi kuongezeka.
Kwa ufupi, kiwango cha chini cha uwekezaji ni $30 na kuendelea.
Kwa wataalam wa maswala ya fedha na wajuzi wa Mambo ya kitapeli naombeni ufafanuzi tafadhali ikiwezekana tuokea hili jaazi.