Hivi kwanini wanawake wanapenda kulala upande wa ukutani?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,898
15,548
Wakuu,

Kuna utafiti nimeufanya ambao umenishangaza kidogo, wanawake wengi wakipenda kulala upande wa ukutani wa chumba.

Sasa nimekosa majibu yenye kueleweka yanayowafanya wao wapende kulala ukutani nikaona ni vizuri ni niwashirikishe katika utafiti wangu na nyie.

Wakuu kama kuna ajuaye anihabarishe tafadhali
 
tang'ana mzee wa udsm...

mambo mengine hutokana na "mapokeo"... kama tumerith vile...kawaida huwa sheria

labda nkuulize mfano tatizo likitokea night nani wakwanza kutoka kwenda kukabiliana na tatizo? mf mwizi...

japo ni nje..mkuu ndani ya miezi kadhaa umelala na wadada zaidi ya wanne... sirias.? and ur confident enough to speak out....
 
We jamaa tokea niliposomaga ile thread yako ya "wanawake kuwashobokea wanafunzi wa udsm" hata ukiweka thread ya maana huwa nahisi ni utoto tu
 
Wanaona wako salama zaidi ukutani, pia midume kama jambilo hatupendi kuwekwa kati,,,ukutani ili niwe free any time kukabiliana na chochote usku endapo kutatokea kurupushani yoyote
 
Hilo jambo ni kweli ila linahusiana na security zaidi, wanawake ni waoga sana wa giza, kwahiyo sehemu salama kwake ni kulala ukutani ili hata akitokea mtu au chochote kikutane na ww kwanza,na kiukweli hii mbinu inawasaidia sana matatizo yanapotokea
 
Wewe ukipanda basi na mpenzi wako utamuacha akae dirishani au akae njiani agusweguswe na waliosimama?? Lazima umlaze ukutane ili um tight vizuri.
 
Staili zako unazotumia zinawalazimu kulala upande huo ambao kwako unaona wote wanakuwa ukutani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…