Hivi kwanini wanawake wa “Daslamu” wanajichubua sana?

ntuchake

JF-Expert Member
Apr 17, 2024
354
1,243
Wikiendi iliyoisha nilikuwa kwenye jiji lenye fujo daslam. Hili jiji kila mwanamke unaekutana nae anatumia mkorogo.

Alaf wanatumia mikorogo bila kutumia sunscreen matokeo yake wanakuwa wekundu kama kitimoto.

Daslam kwasasa ukikutana na mwanamke mweusi ujue una bahati.

Naiomba serikali iwalinde wanawake weusi kwa namna yoyote ila maana wako njiani kutoweka hapo daslam.

Vilevile serikali ipige marufuku mikorogo kuuzwa na kuingia nchini.
 
Wikiendi iliyoisha nilikuwa kwenye jiji lenye fujo daslam. Hili jiji kila mwanamke unaekutana nae anatumia mkorogo.

Alaf wanatumia mikorogo bila kutumia sunscreen matokeo yake wanakuwa wekundu kama kitimoto.

Daslam kwasasa ukikutana na mwanamke mweusi ujue una bahati.

Naiomba serikali iwalinde wanawake weusi kwa namna yoyote ila maana wako njiani kutoweka hapo daslam. Vilevile serikali ipige marufuku mikorogo kuuzwa na kuingia nchini.

Mkuu, si ntuchake, au?
 
Back
Top Bottom