Hivi kwanini ukianzisha habari watu wanachangia ujinga?

Majhura fikiri

Senior Member
Jul 11, 2015
121
13
Habari za jioni wana JF,

Wenzangu natumaini wote ni wazima wa afya!

Nimeona Leo nitoe dukuduku langu moyoni nisikae na kinyongo, humu kuna group lina tabia moja siipendi sana, yani mtu unatoa mawazo yako kwenye posti yako mtu anajibu ujinga na si mara moja kutokea, inajitokeza Mara nyingi lakini majina ya hao nimeyaweka kwenye mabano mkizingua nawataja kwahiyo acheni tabia hiyo!

Asanteni
 
Hahahaha humu kwenye GROUP?
WE UNAOGOPA KUWATAJA NGOJA ME NIANZE KUWATAJA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
NA KUENDELEA
 
Inategemea ni uzi gani. Mfano unakuta mtu eti nae ni mwanaume anapost uzi eti "huyu dada mchunaji sana, kanichuna elfu 20000" analialia weeee, sasa najiuliza kama kweli mtu ana mbupu mbili na anadai ni mwamaume anakuja kulia kwa hii hela ya nyanya utamuelewaje? Si bora tumkomeshe akinuna apasuke au anywe sumu ya panya?
 
Jinga wewe.. Unalipia humu.
 

Hahahaha! Kuna mwingine huko nae kaanzisha uzi, kisa demu kaagiza dompo, yan ni vituko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…