kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,883
- 20,423
Hivi ndugu zangu kwanini tusianzishe boycott dhidi ya wanaounga mkono dhulma zinazofanywa na SSH na genge lake?
Mfano kususia bidhaa za matajiri wanaosapoti huu utawala
Kuacha kuwasapoti viongozi wanaoshiriki hizi dhulma
Kususia hata baadhi ya nyumba za ibada zinazoongozwa na hao wanaounga mkono au machawa
Kutoshiriki shughuli au jambo lolote linalofanywa na mtu yoyote anayeunga mkono huu utawala?
Kama watakuwepo wasanii basi tusisapoti kazi zao!!
Tujifunze kwa kampeni ya #Boycott Israel ilivyoleta matokeo chanya.
Sisi wananchi tukiamua tunaweza kuwasusa hawa wajinga kuyasusa makampuni yao ili tuone wataenda kula wapi