Hivi kwanini baadhi ya wanawake huwa hawapendi kujitawaza na maji pindi waendapo msalani?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,879
15,459
Wakuu,

Kuna utafiti nimeufanya bila walengwa kugundua kuwa me nawafanyia utafiti, nimegundua kwamba wanawake wengi wakienda msalani huwa hawajichambi na maji,instead huwa wanaenda na toilet paper tu.

Kuna mmoja nilimfuma mahali kwenye hvi vyoo vya kushare tena ni binti mrembo tu,nikakuta kajisaidia juu alafu kajitawaza na toilet paper akasahau hata kuflash na maji.

Kiukweli nimekua nikijiulza sana, kwanini hawa wenzetu huwa hawapendi kujichamba na maji pindi waendapo msalani.

Naombeni mnipatie majibu yenye kueleweka kwa maana baadhi yenu mko humu?
 
aisee labda niwe na tatizo la kiufundi labda tumbolichafuke nishindwe kujizuia vinginevyo mimaji ya mahali niSipopajua sigusi... maumbile yetu yamekaa vibaya sana kupata maradhi ni rahisi halafu huwa naskia kinyaa sana.. kwa sababu kukuta Mtu katia makimba yake kwenye maji NI RAHISI SANA LOH,,,,, ila nikiwa na tatizo ntayatumia japo nitakosa raha mpaka nisahau
 
Aisee..!!na maumbile yale inakuaje maana sidhani kama toilet inafuta uchafu wote..
I mean,nasikia yale matundu matatu yako karibu sana,
 
kuna kaukweli hapa...hlf eti nae huyu anataka kuzamiwa chumvini na chembechembe izo nnya zilizopo uko...loh nani atakaje kuripukiwa na kipindupindu,wenzenu wazungu mnaowaiga huwa wanajipuliziaga midawa baada ya kujipakaza na tiolet pepar.
 
Kiswahili kigumu,kuomba majibu ni kuhitaji msaada pia

Unaomba msaada wa kifikra

Na mtu aliyefanya utafiti ana taka majibu ya nini?
we msaada unaujua au ? kwenye mtihani mwalimu anapoauliza maswali anahitaji msaada au vipi ?
anataka majibu ya maswali alioluza sio msaada
 
Kama hajachamba na maji!,hapo mbunye lazima itoe harufu...kwa wale magwiji wa kuzamia baharini...hatari kubwa kwao.
 
Kujitawaza nako ni uchafu tu.

Hebu fikiria unayashika mavi halafu unajilowesha makalio.

Ukishamaliza unajifuta na nini?

Unavaa tu chupi na kusepa zako?

Huo unyevunyevu wa hayo maji husababisha harufu ya kinyesi.

Ni bora ukishamaliza kunya ukaoga kabisa kuliko kujitawaza.

Ukijitawaza utaishia kuwa na stink butt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…