wakiwa wambea unapungukiwa nini? una shida na umbea wao? unakuhusu? kwa nini yani unaumis mtu akiwa mbea wakati hakusaidi kitu my brother? pumbavu kabisa.
Umbea ni kutoa taarifa zenye ukweli mahali pasipo sahihi na bila kupewa ruhusa huo ndio umbea. Kwa lugha nyepesi ni kutokuwa na uwezo wa kulitunza jambo.
Mwanaume kwa asili yake amepewa uwezo mkubwa wa kutunza jambo fulani bila kulisema. kwa hiyo unataka kusema wanaume wa mikoa hiyo mafriji yao hayagandishi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.