GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
ni ujinga wa kiwango cha ZEGEHii hali huwa nakutana nayo mara kwa mara siku za Jumapili hasa pale ambapo niwapo ' Ibadani ' kwa kumuona kabisa Mtu anaenda kutoa Sadaka tena akiwa katika ' Mikogo ' yote na tena hatoi Hela ndogo ndogo za ' coins ' bali unaweza kumwona Mtu kabisa anatoa Tsh 5,000/ au Tsh 10,000/ lakini cha kushangaza ibada inapoisha tu na mkitoka mkiwa Kituoni kusubiri Usafiri unakuta ' lijitu ' lile lile lililotoa Sadaka kubwa linakuja ' linakunong'oneza ' sikioni kuwa umlipie nauli ya Tsh 400/ afike huko aendako.
Najua humu ' Jamvini ' kuna Waumini wenzangu wengi hebu tusaidiane katika Je kumaliza Hela yako yote kwa kuitoa kama Sadaka ' ibadani ' kanisani kisha unakuja kusumbua Watu kuwaomba nauli ndiyo imani ya kweli tunayohubiriwa au Waumini wengi tuna ' Pepo ' la Ujinga kama siyo Upumbavu?
Nitashukuru kwa majibu yenu kwani leo nimekwazika mno baada ya ' Njemba ' moja ambayo imemaliza Hela yake yote kwa kutoa Sadaka halafu kaomba nimsaidie nauli hivyo kupelekea kuharibu kabisa ' Bajeti ' yangu hasa ukizingatia maisha ya sasa ni magumu hadi unakuta Mtu hata Chenji tu ya Tsh 50/ unaidai kwa nguvu zote huku ' Mishipa ' yote ya Shingoni ikikusimama.
Umeuliza kanisani mkuu?Hii hali huwa nakutana nayo mara kwa mara siku za Jumapili hasa pale ambapo niwapo ' Ibadani ' kwa kumuona kabisa Mtu anaenda kutoa Sadaka tena akiwa katika ' Mikogo ' yote na tena hatoi Hela ndogo ndogo za ' coins ' bali unaweza kumwona Mtu kabisa anatoa Tsh 5,000/ au Tsh 10,000/ lakini cha kushangaza ibada inapoisha tu na mkitoka mkiwa Kituoni kusubiri Usafiri unakuta ' lijitu ' lile lile lililotoa Sadaka kubwa linakuja ' linakunong'oneza ' sikioni kuwa umlipie nauli ya Tsh 400/ afike huko aendako.
Najua humu ' Jamvini ' kuna Waumini wenzangu wengi hebu tusaidiane katika Je kumaliza Hela yako yote kwa kuitoa kama Sadaka ' ibadani ' kanisani kisha unakuja kusumbua Watu kuwaomba nauli ndiyo imani ya kweli tunayohubiriwa au Waumini wengi tuna ' Pepo ' la Ujinga kama siyo Upumbavu?
Nitashukuru kwa majibu yenu kwani leo nimekwazika mno baada ya ' Njemba ' moja ambayo imemaliza Hela yake yote kwa kutoa Sadaka halafu kaomba nimsaidie nauli hivyo kupelekea kuharibu kabisa ' Bajeti ' yangu hasa ukizingatia maisha ya sasa ni magumu hadi unakuta Mtu hata Chenji tu ya Tsh 50/ unaidai kwa nguvu zote huku ' Mishipa ' yote ya Shingoni ikikusimama.
Mkuu huu muda wa kumuabudu Mungu wako unaupata wapi kama unaona mpaka viwango vya sadaka waumini wenzako wanavyotoa, tena unawakumbuka na sura zao wanapokuja kuomba nauli? Mkuu unauhakika huoni pichu walizovaa pia?
Ki sh 400 ndio kinakutoa povu lote kama huna mwambie sina... Sio kuleta malalamiko hapa hela yenyewe haizidi bk
Mkuu ulitakiwa upate kazi pale TIS kipaji ulichonacho ni natural ukipata na mafunzo unaweza kuwashinda hata wa KGB na CIA pamoja na MI5 wote kwa pamoja.Sasa kama wengi wao huwa nakaa nao jirani kabisa na hata wakiwa wanaingiza mikono yao mifukoni kutoa ' mtonyo ' huwa nawaona ' mubashara ' kabisa kuna tatizo? Kuhusu kujua ' Chupi ' zao walizovaa bahati mbaya sana sina hayo macho ya rohoni ya kuzijua ila ungeuliza kuwajua Wanaume ambao mara nyingi huwa ' wanadindisha ' katika Nyumba za Ibada ningekujibu ndiyo kwani hili nalo ni tatizo ambalo sasa linaanza kuzoeleka na kukomaa pia na pengine linatokana na aina ya Mavazi ambayo Dada zetu huyavaa.
Umeuliza kanisani mkuu?
Naamini hata Mungu hapendi kutojitambua kiasi hicho ndio maana akatupa vichwa vyenye uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi sahihiHii hali huwa nakutana nayo mara kwa mara siku za Jumapili hasa pale ambapo niwapo ' Ibadani ' kwa kumuona kabisa Mtu anaenda kutoa Sadaka tena akiwa katika ' Mikogo ' yote na tena hatoi Hela ndogo ndogo za ' coins ' bali unaweza kumwona Mtu kabisa anatoa Tsh 5,000/ au Tsh 10,000/ lakini cha kushangaza ibada inapoisha tu na mkitoka mkiwa Kituoni kusubiri Usafiri unakuta ' lijitu ' lile lile lililotoa Sadaka kubwa linakuja ' linakunong'oneza ' sikioni kuwa umlipie nauli ya Tsh 400/ afike huko aendako.
Najua humu ' Jamvini ' kuna Waumini wenzangu wengi hebu tusaidiane katika Je kumaliza Hela yako yote kwa kuitoa kama Sadaka ' ibadani ' kanisani kisha unakuja kusumbua Watu kuwaomba nauli ndiyo imani ya kweli tunayohubiriwa au Waumini wengi tuna ' Pepo ' la Ujinga kama siyo Upumbavu?
Nitashukuru kwa majibu yenu kwani leo nimekwazika mno baada ya ' Njemba ' moja ambayo imemaliza Hela yake yote kwa kutoa Sadaka halafu kaomba nimsaidie nauli hivyo kupelekea kuharibu kabisa ' Bajeti ' yangu hasa ukizingatia maisha ya sasa ni magumu hadi unakuta Mtu hata Chenji tu ya Tsh 50/ unaidai kwa nguvu zote huku ' Mishipa ' yote ya Shingoni ikikusimama.
Mpigie sir GodNaogopa kuambiwa nina ' Pepo ' la ' ufukunyuku '.
Mkuu ulitakiwa upate kazi pale TIS kipaji ulichonacho ni natural ukipata na mafunzo unaweza kuwashinda hata wa KGB na CIA pamoja na MI5 wote kwa pamoja.
Mabus ya Mwenge kuelekea mataa ya Ubungo siku kama ya leo huwa pale Lufungila wengi hawasimami mida ya waumin wa Kakobe kwenda home wanadai wengi ni sound tu hawana nauli nimeshuhudia zaidi ya Mara 2