Hivi kuna ukweli wowote hapa kuwa Tanzania imebarikiwa kimataifa?

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,892
Kuna msemo unasambaa sana mitandaoni unasema eti Tanzania imebarikiwa sana coz kwenye hivi vitengo vya kimataifa zaidi.

Mpira: Mbwana Samatta

Mziki: Diamond Platnumz

Majungu: Ali Kiba

Je, kuna ukweli wowote apo wakuu?
 
Kuna msemo unasambaa sana mitandaoni unasema et Tanzania imebarikiwa sana coz kwenye iv vitengo vya kimataifa zaidi

Mpira: mbwana samatta

Mziki: diamond platnumz

Majungu: Ali kiba

Je kuna ukweli wowote apo wakuu.....?
Huyu kijana kwenye RED alikuwa mstaarabu sana ila tangu alipoamua kubebwa imekuwa ni shigdah amewazidi hata wanaom'beba kwa majungu.
 
Huyu kijana kwenye RED alikuwa mstaarabu sana ila tangu alipoamua kubebwa imekuwa ni shigdah amewazidi hata wanaom'beba kwa majungu.

Hahaha,

Rafiki utaniua kwa kicheko,hivi mnayosema ni kweli jamani?Mbona mimi sijawahi kumsikia akimsema mtu vibaya
Au mnamsingizia kaka wa watu?
 
Teh.. Kuna mtu anaitwa nifah akiwaona mtafute kwa kujificha. Kama mnajiweza muiteni ili naye awaitie watu wake ili wengine tumalize weekend vizuri kwa vicheko
 
Kuna msemo unasambaa sana mitandaoni unasema et Tanzania imebarikiwa sana coz kwenye iv vitengo vya kimataifa zaidi

Mpira: mbwana samatta

Mziki: diamond platnumz

Majungu: Ali kiba

Je kuna ukweli wowote apo wakuu.....?
Ipo wazi kabisaaa
 
Simba aka Diamond Platnumz aka Baba Tiffah aka Mume wa Zari.

Hadi raha

Nani ameona nyumba ya Tandale inavyobadilika? Njoo uichungulie kwa mbali mtaani kama haujaiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…