Hivi kuna uhusiano wowote kati ya kabila la Watusi, Wahaya na Wanyankole?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,217
3,694
jamani wana jf kwa sasa nipo mjini uganda huku nimekutana na kabila la watu wanaojiita wanyakole hawa jamaa wanaongea kihaya lakini wakati nikiwa huku nimekutana na wanyarwanda wa kabila la watusi pia nikagundua wengi wanaongea kinyarwanda na pia kihaya wanakielewa kukiongea.

lakini pia upande wa majina pia inaonekana wanafanana huku nimekutana na majina kama rweyemamu,rutashobola,rwegasira, rutaguza ambayo mi nimezoea kuwasikia wahaya wakitumia haya majina ,......

anyway ningependa kufahamu hivi hawa watu uhusiano wowote au ndo ule mwingiliano wa kabilaa
 
Kuna makabila mengi sana yapo kagera, hayana tofauti na wanyarwanda majina yao koo zao ni zile zile tu
Wahangaza wahaya na kabila flani hivi. Yupo aliekua mtangazaji wa bbc. Erick david nampesya wote hao ni wanyarwanda tu
 
We unadhani Pogba katerero aliijuaje?au kwanini tour yake ya kwanda ilikua kwa PK?
 
Walewale Mkuu kilchopo halo in mgawanyo Wa utaifa hats hapa pwani wapo wlugulu,wkutu,wanzaramo,pia wanafanana hats tamaduni zao Mkuu "ngoma kwa Mjomba"
 
nilotics ina maaana ni watu wa aina gani


Nilotic people are indigenous to the Nile Valley that speak Nilotic languages, which comprise a large sub-group of the Nilo-Saharan languages spoken in South Sudan, Uganda, Kenya, and northern Tanzania. In a more general sense, the Nilotic peoples include all descendants of the original Nilo-Saharan speakers.
 
Nyankole and Tutsi Are not BANTU. They are Nilotics

Correct.........they are Bantu....apologies


The Tutsi or Abatutsi, are a population inhabiting the African Great Lakes region. Historically, they were often referred to as the Watutsi, Watusi, Wahuma or the Wahima. The Tutsi form a subgroup of the Banyarwanda and the Barundi peoples, who reside primarily in Rwanda and Burundi, but with significant populations also found in Uganda, the Democratic Republic of the Congo and Tanzania.They speak Rwanda-Rundi, a group of Bantu languages.
 
Kuna makabila mengi sana yapo kagera, hayana tofauti na wanyarwanda majina yao koo zao ni zile zile tu
Wahangaza wahaya na kabila flani hivi. Yupo aliekua mtangazaji wa bbc. Erick david nampesya wote hao ni wanyarwanda tu
we ngoja waje wa uhamiaji utawaeleza vizuri,, Nampesya ni mhangaza.
 
Angalia majina yao na kinyarwanda kitu kimoja hata lugha yao ni sawa watoto wao ni wale, wale
 


Wanyankole ni watutsi na wahaya ni ndugu zao.
 
Hapana hujakosea mkuu, wanazungumza kibantu cha banyarwanda na barundi. Hilo ndo jamii kubwa, imeimeza lugha yao ya asili. Tutsi ni wageni ukanda huo. Manailoti hao.
 

Kaka Mwanzo ulikuwa sahihi, Watutsi ni Nilotics, ila walipokuja Huku East and Central Africa, waliiacha lugha yao na kujifunza kibantu na ndio ikawa lugha yao, kwa maana Rwanda kulikuwa na Wahutu waliokuwa wanaoongea hicho Kinyarwanda ambacho ndio kimefanana na Kihaya, Kinyambo nk

Kwa Kawaida Makabila ya waamiaji ambao wanataka kudominate na kuchukua power na kwa sababu ya uchache wao, huwa wanakubali kujifunza lugha ya Wenyeji ili baadae waweze kuwatawala

issue ya Watutsi ni sawa na Wangoni, maana hicho Kingoni wanachokiongea sasa hata huko south Africa Hakipo, hivyo wangoni nao walichukua lugha za watu wa maeneo ya mwambao wa Ziwa Nyasa na ikawa Lugha yao ili watawale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…