Uranium huwezi uza kama unavyofikiria ile ni biashara kati ya nchi moja na nyingine, unaweza kua nayo lakini tatizo ni kuiuza, kwani inahusisha mikataba ya nchi kwa nchi, na biashara hiyo ipo controlled na shirika la Atomic la dunia, pia kumbuka Uranium hutengeneza silaha za Atomic, na huwa ina toa mionzi ambayo kila ubalozi hasa balozi za nchi za magharibi huwa unavifaa maalum vya ku ditect mionzi hiyo, hivyo ni kusema kama umebeba madini ya Uranium hata ungeyafunga vipi, huwezi kutoka posta hadi mwenge bila kukamatwa, Usijaribu biashara hiyo...