Hivi Kuna Mashabiki Wenzangu Damu wa Enock Bella wa Yamoto Band Kama Mimi?

Yaan hajawahi kuniangusha yule bwana mdogo... mi huwa nikisikiliza nyimbo zao huwa nasubiri kusikia anavotiririja tu!!
tisha sana dogo!
"turubai unitandikie na mshamu uusimamie x2
we mtoto wa babaeee..."
ahahaha
 
Hiyo video ni wimbo kuhusu incest ya mtu na dada yake waliochangia baba.

Sielewi mtu anashabikia nini hapo?

Mnashabikia incest?
 
Na mimi nimeshangaa.

Si matusi tu. Anataka kumuoa dada yake waliochangia baba mmoja!
Hawajachangia baba. Mama yao wale wa kiume kaolewa na baba yake yule wa kike hivyo wamechanganya watoto wao nyumba moja. Hawana undugu wa damu.
 
Wasalaam,
Tangu Yamoto Mpaka Su Ya Juzi,Kila Utokapo Wimbo wa Yamoto Mie Usubiria Beti Zake Tu!
Kuanzia "Una Rambo,Una Muwa",Mpaka ya "Uukalie"...
Hivi Kuna Enock Bella's Fans Humu...?
Kama Mpo,Ebu Dondosha Verses Zake Ambazo Zinakukuna...

Unazungumzia nini hapa dear???????? Sijaelewa bado
 
Hiyo video ni wimbo kuhusu incest ya mtu na dada yake waliochangia baba.

Sielewi mtu anashabikia nini hapo?

Mnashabikia incest?
nope,ndani ya wimbo huo Mama Yao Yamoto ameolewa na Baba yake Ruby!So there is no any blood relationship between Yamoto Boys and Ruby!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…