Hivi kipaumbele cha Viongozi ni kuwapeleka wasanii kwenye majimbo Yao?

cumbamalema

JF-Expert Member
Sep 4, 2024
270
606
Napenda kusema hiki kizazi cha Sasa kinazaraulika sana,yaani wananchi badala ya kuwezeshwa au kuonyeshwa maendeleo wamekuwa wakipelekewa wasanii,hivi hii inaingia akilini kweli?
 
Ni mwendo wa kukodi vikundi vya midundiko na vigodoro kwenda kuwaliwaza wapiga kura.Miaka mitano si mchezo.Ni lazima waburudike kwa matumbuizo aina kwa aina.
 
Napenda kusema hiki kizazi cha Sasa kinazaraulika sana,yaani wananchi badala ya kuwezeshwa au kuonyeshwa maendeleo wamekuwa wakipelekewa wasanii,hivi hii inaingia akilini kweli?
Ni kwa vile bila kuwatumia wasanii kukusanya watu kwenye mikutano yao hakuna atakayefika kuwasikiliza. Mfano juzi pele Kirumba Mwanza, baada ya Diamond kushuka jukwaani watu wakaanza kuondoka uwanjani hadi milango ikafungwa kuwazuia wasitoke.
 
Ni aibu kweli kweli
 
Napenda kusema hiki kizazi cha Sasa kinazaraulika sana,yaani wananchi badala ya kuwezeshwa au kuonyeshwa maendeleo wamekuwa wakipelekewa wasanii,hivi hii inaingia akilini kweli?
sasa hao wananchi wenyewe wanayo hiyo akili ?
 
Ccm wanaamini wako kuongoza milele na wao ndio viongozi wanaofaa pekee!
"Vyama vya upinzani haviwezi kupewa nchi"..
Matokeo yake tunaona..wanaongozana na wasanii kila kwenye mkutano, wanaandikisha hadi wanafunzi wasio na sifa kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa!

Iwe CCM iwe CHADEMA, lazma sisi wananchi ndio tuamue nani atuongoze, kuna watu wanaamini CCM na CHADEMA ni kama ushabiki tu (Simba na Yanga).
Other wise hii nchi hatuitendei haki kabisa!
 
Back
Top Bottom