Hivi kati ya hawa mabinti wa kibongo celebrities, yupi hasa ni MVP kuliko wote?

TUZO YA MVP MWANAMKE CELEBRITY WA KIBONGO


  • Total voters
    67
  • This poll will close: .

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Oct 28, 2024
784
1,681
Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Tanzania kuna wanawake ambao pasipo kuangalia mazingira ya walipotoka, ila kwa sasa wapo kwenye daraja la juu sana, both kwenye upande wa umaarufu, pesa, high networth connections etc

Na kila mmoja ukimtizama na harakati zake, unakuta kwamba sio za kitoto, ni wachacharikaji haswaa na wameweza kujiposition vizuri sana kwenye mafanikio

Sasa mimi kwa kweli nilitaka tuweze kumpata the MVP (kati ya hawa mabinti zetu celebrities wa kibongo)

Kwa haraka nimewafikiria hawa wafuatao

1. Vanessa Mdee
2. Hamissa Mobeto
3. Jacquiline Wolper
4. Irene Uwoya
5. Nandy
6. Zuchu
7. Wema Sepetu
8. Niffer
9. Jokate Mwegelo
10. Rose Ndauka

Kwangu mimi hapa kura yangu inaenda kwa Jacquiline Wolper

Waweza dondosha jina ambalo unahisi nimemsahau hapo.

Pia naomba Jamii Forum wafanye namna ikiwezekana tupate top 3 MVP kati ya hawa celebrities na tuwape tuzo zao halafu kwenye hiyo hafla watatupa mbinu walizozitumia kufika walipokuwa ili ku inspire mabinti wenzao.
 
Kwa zaidi ya 50% nafahamu maisha yao ni jukumu lao wenyewe lakini hawa watu wana mioyo migumu sana.

Kuna Celebrity mmoja hapa nilimpenda sana ila nilivyokuja kumuona karibu kila interview sijui ni kujisahau anajikuna huku chini, NILICHOKA!

Mimi SIPIGI kura leo.
 
Back
Top Bottom