Hivi huwa inakuaje hii.....???

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,093
21,777
Habari za wakati huu wakuu?

Hivi ishawahi kukutokea umebanwa na haja (mostly haja kubwa) uko mbali sana na washroom letsay uko ndani ya gari.

Ukavumilia vizuri tu, Ila kila unapokaribia kufika chooni ndio haja inazidi kubana na unapofika mlangoni ukitaka kuingia chooni haja ndio inakuwa at maximum point yaan kama umekaza Mkanda wa suruali yako unaweza ukajikuta unajifedhehesha.

Nashindwa kuelewa kwanini unauwezo wa kuvumilia koote ulikotoka lakini unapokaribia kuingia msalani haja ndio inazidi
 
Hivi huwa unawaza mambo gani wewe?? unajua nimecheka kwa sauti hadi aliye ofisi jirani kasikia na kuniuliza nacheka nini ...?

Ok back to the topic ...

Huwezi pandisha mzuka pasipo kuona demu mzuri akikatiza ...
 
Hivi huwa unawaza mambo gani wewe?? unajua nimecheka kwa sauti hadi aliye ofisi jirani kasikia na kuniuliza nacheka nini ...?

Ok back to the topic ...

Huwezi pandisha mzuka pasipo kuona demu mzuri akikatiza ...
Hahaha
 

Kwani wewe mbo...lo itasimama bila kuona uch...i??
 
kuna watu wakiona wenzao wana k.u.n.y.a na wao wanatamani k.u.n.y.a

Wakiwaona wenzao wana k.o.j.o.a na wao wanatamani k.u.k.o.j.o.a

Haya yote ni mambo ya mihemko tu.
Au conditioned reflex action?
 
hiyo ni normal response, na ndivyo ubongo unavyotakiwa kufanya kazi...kama matokeo ya memory & learned behaviour.
Pasipo na choo ubongo unagundua na kufanya anal sphincters zijikaze, na pindi uonapo choo ubongo unajua sasa msaada umepatikana hivyo unaanza kuruhusu anal sphincters kutanuka...

It's all about coordination of the body
 
Thanks mkuu kwa brief explaination
 
Ndivyo ilivyo ubongo umeshapelekewa taarifa na macho kuwa nimefika chooni na ubongo unapeleka taarifa mata..... kwahiyo misuri ya mata...... inaanza kujiachia ili itoe kilichokusudiwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…