Mkuu umeongea kwa gadhabu sana lakini mimi nimekuelewa.Siku hiz imekuwa kila kitu uchochez, hasa kukosoa kiongoz wa SERIKALI et uchochez hv hawa viongoz si binadamu? Hawawez kukosea au? Kama wanakosea wasikosolewe? Neno uchochez linatoka WAP?
Tumetawaliwa na MAKANUSHO na MATAMKO lakn ukikosoa tu et uchochez! Hili neno siku hz linatumika tofaut sana! Bora kuchochea ili moto uwake maana moshi umetuchosha!
Hilo neno uchochezi, serikali ya awamu ya 5 imekuja na tafsiri yake mpya, ambayo ni kwa yeyote anayenyanyua mdomo na kumsema Bwana yule......
Utaitwa mchochezi, na Usishangae ukajikuta unapelekwa lupango na kujikuta 'unaozea' huko Kama hivi sasa yanayomkuta Lema........

2years 2goLema alikuwa hajui kwa nini kina Lowassa na Mbowe wakiwa wanamzungumzia Mh. Rais huwa wanamzungumzia kwa heshma na taadhima zote! Ila akitoka atakuwa kajifunza kitu!
Tunaomba comment yako mamii,maana kila mara unajitoa au vipi?,kulikoni?Ngoja waje
Wacha tu nijitoe mkuuTunaomba comment yako mamii,maana kila mara unajitoa au vipi?,kulikoni?
Ni kweli,maana wakati ungine kuna mavitu yanaongewa yanaleta stress,ni bora ukajituliza kama kasuku mrembo.Wacha tu nijitoe mkuu
Acha UCHOCHEZI mkuuHilo neno uchochezi, serikali ya awamu ya 5 imekuja na tafsiri yake mpya, ambayo ni kwa yeyote anayenyanyua mdomo na kumsema Bwana yule......
Utaitwa mchochezi, na Usishangae ukajikuta unapelekwa lupango na kujikuta 'unaozea' huko Kama hivi sasa yanayomkuta Lema........