dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Me nawaza tu mwenyewe hapa je mtumbua majipu halioni hili la dstv kuwa ni jipu linalotunyonya sisi wananchi?
Maana wanakamua hela kuliko kodi ya Nyumba kwa mwezi na Salio likikata hata chanel za nchini za kawaida nazo hazionekani
Acha sisi tuendelee na akina Zuku kwaani muda huu niko hapa ilomba mby kwa kaka yangu yeye amelipia mwaka mzima tena premium
This guys are quite expensive, walalahoi kama mimi kamwe hatuwezi! Wanatakiwa wadau wengine wawekeze hasa kununua rights za kuonyesha EPL..
vipi kuhusu kujitegemea!
Waongo sana hawa jamaa ni wezi jaaa south Africa wana fanya hivio hivio na huko ndiko wanako tokea sasa kodi gani hizo ambazo wao ndio wanao tozwa pekeyao??
Kama huwezi hama hamia startimes kingamuzi na kifurushi cha miezi miwili 30000
EPL hupatikana mwenye baadhi ya channel za kiarabu !
Wewe ni kununua dish tu halafu wataalamu wanakuunganishia frequency za hizo channel.
Utahangaika na DSTV mpaka lini?
Kumbuka majipu yote yatakamuliwa!