Hivi hii ya wanawake wazuri kuwa single kwa sababu ya uzuri na kwa wanaume ipo?

de Gunner

JF-Expert Member
Nov 2, 2021
1,970
4,392
Katika dunia ya sasa ambayo mapenzi ni kama game play, watu wanaingia kwenye relationships wakiwa na kipima joto, wasiwe na mtu atakaye waumiza, or asiwe juu sana or chini sana based on expectations alizo jiwekea yeye.

Ongezeko la wanawake walio single, linazidi kuongezeka. Let alone wao jamii inawafavor hata wakijitangaza fresh. The same applies kwa wanaume tena wako wengi, ukijitangaza unaonekana huna swaga na vitu vya namna hio, unakuta unapewa go ahead kabisa na mwanamke but ukimtokea tu, ni kama wanasense utakua na mtu, or analinda heartbreak in advance. So unajikuta unatongozwa na wake za watu.

Hii kitu imechangizwa na kutokuwa na trust, na unrealistic expectations jamii iliyo jiwekea. Badala ya kupata muda na wasaa wa kujuana na kuona kama mnaendana mtu anakuwa na imagination zake kichwani ambazo mara nyingi ni fears tu kutokana na vitu ulivyo ona mitandaoni au kwenye filamu.

Ndo maana ndoa hazidumu, watu wabadilike. Sometimes malezi pia, watu hawana confidence.
Nawasilisha, ijumah kareem.
 
Hakuna kitu kingine cha kuwaza?
 
Back
Top Bottom