Asante mkuu. Hebu tuangalie Budget ya 2014/2015 na ya 2015/2016. Kazi kubwa iko kudhibiti matumizi ovyo.Nimekua nikifatilia sana slogan ya Mh tangu alipo ingia madarakani kua yeye ni mbana matumizi
Hebu tuangalie mfano mdogo tu ufuatao
Hivi juzi Mkuu alienda Mwanza kwa NDEGE
Then magari yakamfata
Alafu akaenda Rwanda kwa GARI
Kisha akarudi Dar kwa NDEGE
Means Ndege ilimfwata Rwanda
Alafu MAGARI yakarudi tena Tz
#TunapunguzaMatumizi
Umewaza mbali sana mm mwenyewe Najaribu kuangalia yeye alienda kwa magar Ndege ikaenda tupu kumfata makubwa haya . Mungu ibariki nnchi yangu TanzaniaNimekua nikifatilia sana slogan ya Mh tangu alipo ingia madarakani kua yeye ni mbana matumizi
Hebu tuangalie mfano mdogo tu ufuatao
Hivi juzi Mkuu alienda Mwanza kwa NDEGE
Then magari yakamfata
Alafu akaenda Rwanda kwa GARI
Kisha akarudi Dar kwa NDEGE
Means Ndege ilimfwata Rwanda
Alafu MAGARI yakarudi tena Tz
#TunapunguzaMatumizi
Kwa mtazamo huu mbona safari ni ndefu sana?! Yaani tunashindanisha kitu gani hapaMwache JPJM amalize walau mwaka mmoja hala tulinganishe mwaka wake wa kwanza na mwaka wa kwanza wa JK ndo tujue nani amefanikiwa kubana matumizi zaidi kuliko mwingine.
Ni mapema sana kumpima JPJM sasa hivi; hajamaliza hata nusu mwaka halafu unataka tumpime kwa trip moja!!
Kuwa na subira!
sioni shida zamani zilikua zinafanyika kama hizo mara 10 kwa mwezi angalau hiyo...
kila taaluma hupingwa na sio kila uchafu huondoka kwa siku mojaKwa hiyo wewe kwa akili yako unaamini kabisa kuwa makosa mawili yakifanyika hufuta kosa lililofanywa Kidogo?!
Ova
kila taaluma hupingwa na sio kila uchafu huondoka kwa siku moja
Nimekuelewa mkuu ila tukubali kutokukubaliana...Mfano wako mbona haufanani na issue iliyopo?! Kinachosemwa hapa ni kama vile mfagizi anapiga deki sebuleni huku anakunya na kudondosha kinyesi anakopiga deki.
Ova
basi kama alijua hatoweza kwenda na kurud kwa gar kwanini asitumie ndege mojakwamoja?wewe huon huu ni ujinga tunadanganyana?kweli ndio maana hata trafiki wa kenya wanatudharau na kutuita wajinga.kenya mkate tu ulipanda bei waziri akapgwa chini.shiling ikashuka kidogo siku mojatu wazr akalala nje.nyie kosa kama hili sio kosa?Katika mialiko yote aliyopata toka aingie madarakani, angekuwa amesafiri mara ngapi endapo angeitikia mialiko hiyo, huoni kama ameshabana hayo matumizi ?
We Ulitaka asafiri tena kutoka rwanda mpaka dar kwa gari ndio ulidhike?