baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 2,989
- 4,369
Mwanaume Mzima Unakuwaje Pet wa Mwanaume Mwenzio?
kumekuwa na wimbi la viumbe wa kiume wanaojiita "Machawa".
Eti mwanaume mzima, una ndevu, una nguvu za kutosha kabisa, lakini unajisifu kabisa mbele za watu kuwa wewe ni Chawa wa mwanaume mwenzako kisa hela!
Ngojeni niwambie ukweli nyinyi viumbe, Uchawa ni hatua ya kwanza ya ushoga, na msipojishtukia, mtaingiliwa hivi hivi mkiwa mnaona.
Mwanaume unakuwaje na akili ya mbaya? Unamtumikia mwanaume mwenzio kama housegirl, unatumwa kila sehemu, unamsifu asubuhi, mchana na jioni, na kupiga vigelegele kisa tu kukuonea huruma akupe makombo ya hela zake.
Hiyo sio kazi, huo ni utumwa wa hiari unaoashiria upungufu wa kiume.
Mifano ya Kijinga ya Hawa Viumbe, Mwanaume unatumwa mpaka kununua vipodoz vya mchepuko wa bosi wako, na unachekelea kabisa ukijisifia Mimi ndio chawa wa fulani
Hivi unajisikiaje mwanaume mzima na sharubu zako, umekaa sebuleni kwako na mkeo na wanao, halafu unapigiwa simu na dume mwenzio unaanza kusimama wima na kuitika "Ndio bosi, nakuja sasa hivi bosi, nitasafisha na viatu vyako bosi, huku unacheka cheka kijinga kama binti aliyevunja ungo?
Mkeo anakuangalia anajisikia kichefuchefu! Anajua kabisa ameolewa na mwanaume jina,
Chawa hana mipaka, Unatumwa kununua kreti za bia, unatumwa kubeba mikoba ya michepuko ya bosi wako, na unashinda ukimsubiri nje ya geti usiku kucha huku yeye anatomb. Ukirushiwa kishika uchumba cha laki moja unaruka ruka kama umepata mtaji wa duka. Huo siyo utafutaji
Unapokubali kugeuzwa pet au mbwa wa mwanaume mwenzio, maana yake umempa mamlaka yote juu ya utu wako. Ukishazvyeshwa kupokea amri zote, ipo siku huyo bosi wako atalewa, atakuangalia jinsi unavyomnyenyekea, atavuta zipu yake na kukwambia uiname. Na kwa njaa zenu, mtainama hivi hivi [emoji848]
Acheni kujidhalilisha! Kuliko kuwa chawa wa mwanaume mwenzio, nenda kabebe zege, nenda kalime, kuliko kuishi maisha ya kishoga huku unajidanganya unafanya kazi.
Mwanaume unakuwa chawa? Utapotea hivi hivi mchana kweupe, na mkeo atabaki kuwa mjane huku ukiwa hai kwa sababu umeshaolewa kisa njaa.
Ondokeni kwenye huu ujinga, simameni kama wanaume, acheni umalaya wa kujipendekeza kwa madume wenzenu.