General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,201
Nenda Magogoni uombe mmoja ujaribu maana Tausi waliletwa toka India hivyo sijawaona msituni. Kasuku nawaona kwenye Cage za watu siyo kwenye msitu au anga. Kama unaweza iba mmoja toka Magogoni kisiri halafu utupe majibu kama alikuwa mtamu au kama we mpishi wa mapadlock muombe mchinje mmoja.
Hawa ni ndege wa kuletwa siyo kama Mbuni unayeweza kumchukua mbugani au kuiba mayai yake. Inabidi ufanye mpango na hao wa magogoni ili utupe majumuisho.Hivi kwa nini tausi hawafugwi majumbani mwa watu kama ilivyo kwa kasuku? Kwa vile tausi ni ndege wa kufugwa na siyo kama wale waishio porini tunaowaita "nyara za serikali" raia wa kawaida wangeruhusiwa kuwafuga ingesaidia sana kuongeza kizazi chao hawa ndege. Au ni Magogoni pekee ndiyo wenye haki ya kuwafuga na kuendeleza kizazi cha hao tausi?
Na ninasikia nyama yake dili sana kule pemba!Hata kenge nae ni mtamu sana
Siwezi kubisha juu ya hilo maana tunatofautiana makabilaMpaka bundi anatafunwa tu.
Unamaanisha ukisema niliwe mimiWe jishaue uache kuwala hao halafu uje kutahamaki umeliwa wewe.