Hivi Harry Mwijage anafanya biashara gani?

BIG Africa

Member
Oct 15, 2022
85
118
Habari zenu.

Kuna jamaa anaitwa Harry Mwijage huwa anaonekana sana kwenye mitandao ya kijamii akihamasisha vijana wapambane katika biashara na shughuli nyingine

Kwa anayemjua atusaidie huyu jamaa yeye Anafanya biashara gani au na yeye anahamasisha tu watu wapambanie Kombe.
 
Back
Top Bottom