Hivi haka kamchezo ka kuingiziwa kusiko, dada zetu mnapenda au mnalazimishiwa?

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,936
3,958
Haka katabia ka dada zetu ka kugawa tigo kameshamiri sana maeneo mengi. Na wengine wanajisifia kabisa eti wanaume wa siku hizi ukitaka uwakamate sharti uwape tigo na wengine unakuta wameolewa na wanafanya hivyo ili kuwakamata waume zao.

Hivi kweli mnaamua wenyewe au waume zenu wanawalazimisha na kama mnalazishwa kwa nini hamkatai?? Imagine mdada anafanya hivyo vitendo halafu anakuja kuolewa na mtu ambaye hafanyi hivyo. Mimi naamini kuna mambo mengi unaweza ukamfanyia mpenzi na akafurahi bila hata kugawa tigo.

Je mnajua madhara yake kwa pande zote mbili?? Na wanaume tuache hii tabia ya kuwalazimisha dada zetu kwa kuwashawishi na pesa,magari n.k. Ukimfanyia mke/mchumba wako vitu hivyo jua tu lazima atakusaliti.

Tubadilike jamani sio kila kitu ni cha kuiga,mambo ya wazungu tusiyaingize kwenye tamaduni zetu ni laana. Wadada kueni na msimamo la sivyo mtaharibiwa mshindwe kuishi kwa raha maisha yenu yote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom