Hivi haiwezekani kwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja maisha yake yote?

zen

Senior Member
Feb 6, 2016
106
94
Salam! Hivi dunia nzimaa hamna mwanaume ambae anatulia na mwanamke mmoja maisha yake yote?

Kuna shoga yangu mmoja ni mzurii kupita maelezo na mzuri kitandani na mapishi pia na mtulivu na mpole na hana makunwa kabisa lakini sadly juzi kamfumania mume wake.

Hivi inawezekana kutokea mwanaume aliyetulia?
 
nini kinasukuma kuwa hakuna mwanaume aliye na mke mmja tu unafikiri wote wako kama hao unaowafahamu mtazamo wako sio sahihi
 

Inawezekana sana na wapo wanaume ambao wametulia na waume zao. Tatizo lako umechukua sampuli moja tu kwa mume wa rafiki yako na kuhitimisha kuwa wanaume wote wako hivyo. Lakini pia kuna andiuko kwenye Biblia linasema mwanmke atamlinda mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…