Ha ha ha haaaaa! Watu wanamuogopa Sangoma kuliko Mungu!Unadhani ndani ya ccm kuna wanaomuogopa Mungu, kama wapo basi ni wachache sana
Utaumiza kichwa chako bure, hata Bokoharam wana swali swala tano.Katika vitabu vyote vya mitume wote na manabii wa M/Mungu vinasema lengo kuu hasa la mwanadamu kuumbwa ni kumwabudu M/Mungu, haya mambo mengine ni madogo na ya ziada tu kwa mwanadamu duniani hasa katika kujitaftia rizki na kwa Mungu hayana thamani kwake.
Sasa mimi najiuliza inakuaje Leo Dr Shein mzee wangu anapoingia msikitini na kusimama mara tano kwa siku anaponyanyua mikono yake kumwomba Mungu atasema nini ilihali nusu ya Wananchi wake wanasononeka kuhusu uhalali wa yeye kua kiongozi wa nchi? Hao wote wanaoingia msikitini huku nyoyo zao zikisononeka hatujui wananambia nini Muumba wao, hatujui mahitaji ya nafsi zao ni nini kwa Mungu sasa, hatujui machozi yao Mungu Muumba anayafuta vipi.
Well, Dr Shein anaweza kuhisi amefanya kitendo cha kumfurahisha Mungu anayemwamini yeye kua raisi kwa sababu tu eti kwa sababu kuna maeneo machache kule Pemba rafu zilichezwa oktoba 2015! Lakini Dr Shein ajiulize je, hizo sababu zilitosha kumpa uhalali wa kurudia uchaguzi tena na kumpa ushindi?Je, rafu za Pemba oktoba 2015 hazikutokea Tanzania bara?Mbona uchaguzi bara hukurudiwa?
Kwa hili Dr Sheni amemkosea Mungu sana na kama bado nusu ya wazanzibar wanasononeka ajue Mungu atajibu ajuavyo yeye! Dr Shein ajue maishani kwake duniani ameweka historia ambayo itamuhukumu hata akhera iwe kwa mema au mabaya.
Dr Shein Kwa Sasa ni Dikteta hamjui mungu wala hatambui uwepo wake anachojua yeye ni kutawala Kwa nguvu na kutafuna pesa toka hazina pesa za watanganyikaKatika vitabu vyote vya mitume wote na manabii wa M/Mungu vinasema lengo kuu hasa la mwanadamu kuumbwa ni kumwabudu M/Mungu, haya mambo mengine ni madogo na ya ziada tu kwa mwanadamu duniani hasa katika kujitaftia rizki na kwa Mungu hayana thamani kwake.
Sasa mimi najiuliza inakuaje Leo Dr Shein mzee wangu anapoingia msikitini na kusimama mara tano kwa siku anaponyanyua mikono yake kumwomba Mungu atasema nini ilihali nusu ya Wananchi wake wanasononeka kuhusu uhalali wa yeye kua kiongozi wa nchi? Hao wote wanaoingia msikitini huku nyoyo zao zikisononeka hatujui wananambia nini Muumba wao, hatujui mahitaji ya nafsi zao ni nini kwa Mungu sasa, hatujui machozi yao Mungu Muumba anayafuta vipi.
Well, Dr Shein anaweza kuhisi amefanya kitendo cha kumfurahisha Mungu anayemwamini yeye kua raisi kwa sababu tu eti kwa sababu kuna maeneo machache kule Pemba rafu zilichezwa oktoba 2015! Lakini Dr Shein ajiulize je, hizo sababu zilitosha kumpa uhalali wa kurudia uchaguzi tena na kumpa ushindi?Je, rafu za Pemba oktoba 2015 hazikutokea Tanzania bara?Mbona uchaguzi bara hukurudiwa?
Kwa hili Dr Sheni amemkosea Mungu sana na kama bado nusu ya wazanzibar wanasononeka ajue Mungu atajibu ajuavyo yeye! Dr Shein ajue maishani kwake duniani ameweka historia ambayo itamuhukumu hata akhera iwe kwa mema au mabaya.
Unadhani ndani ya ccm kuna wanaomuogopa Mungu, kama wapo basi ni wachache sana