Hivi Bongo muvi zinafunza jamii au zinabomoa?

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,622
Sio mpenzi kabisa kabsaaaa wa hizi muvi za bongo wala Naijeria.

Ila hapa hom mda wote nikienda nikirudi mke na watoto nakuta wameconcetrate
hadi wanaunguza chakula.

Sababu sio mpenz wa hizo muvi me nikifika hom nachukua laptop naingia JF maana ndio burdani yangu ingawa kuna vilaza huku wengine wanaharibu maadili ila kwa kusoma huwezi kuharibika km kutazama muvi.

Hivi nnavyowaachia huo uhuru wa kutazama na kujiachia zinawajenga au kuwaharibu ili nipige block channel za kibongo muvi.
 
DUI pole sana huyo mke wako alikuwa beki tatu wa watu ukajioplea mini? Kwa maaana mwanamke walau alifika form 4 hawezi kukaa na kuangalia huo upuuuzi kabisa.mtaani utakutana na mabeki 3 ndo wanatoka kukodisha yaaanu siku nikute kwangu hicho kitu mke talaka. Watoto kwa Bibi. Beki 3 kwao maninana zao labda nikwambie kwa lugha nyingine I HATE THEM.I HATE THE JOBS OF THEIR HANDS.Majitu hayana ubunifuu halafu yananjaaa manina zao mbwa hawa
 

Easy man...easy...
 
Kwamba filamu za Bongo Movie hazivutii ni kweli but I hope it's a matter of time manake cku hizi watu wengi wanaoijitambua na kwenda shule wanaongezeka kwenye tasnia... the problem, no financing but with known reasons.

Kwamba eti Bongo Movie (kwa maana ya filamu zenyewe) zinaharibu jamii ni uongo na unafiki uliopitiliza manake hakuna kinachoonekana kwenye filamu zetu ambacho hakifanywi na jamii zetu at least over the past 30 years!
 
Nitake radhi mke wng hakuwa beki 3 pia kumbuka bek3 ni kazi km kazi zngne.nimekustahi leo nna raha ningekunyea
 
Nadhani kuna movie watoto hawatakiwi kuangalia kwa mkeo ye ni mtu mzima kila mtu na starehe yake jamani muacheni..
Watoto waangalie japo katoon na movie za kuwafundisha.
 
Movie chache nilizobahatika kuziona kwenye mabasi nikiwa safarini hazikuwa nzuri

Actors wamekosa kuvaa uhalisia wa vitu wanavyo act hata km story ni nzuri/kweli lakini picha linakuwa predictable,
Nikirudi kwenye mada , bongo muvi si nzuri sana kwa maadili ya watoto na wanawake/vijana wasiojitambua kwani presentation yao ni kwamba mwanamke mzuri ni lazima awe mweupe makalio makubwa na mwanaume awe na muonekano wa ki-Ray Ray " nk. Kitu ambacho si kweli katika uhalisia wa maisha yetu Tanzania


Jamii inapotoshwa kifikra/mtazamo sana na baadhi hizi Bongo muvi. Mtoa mada kuwa muangalifu.
 
Yaani nilipendaga muvi ya kanumba inaitwa MOSES! Basi sijawahi penda nyingine tena!
 
Asante ndio mke wangu ni bk3 ndio mana anapenda muv za kibongo
 
Kusoma pia kaishia darasa la 7 tu ndio maana
 
Duh...kwa hiyo kumbe bado zina mashabiki? mi nilidhani kuwa zimesusiwa kabisa.
 
Hazina uhalisia yaan wanadanganya mpaka MTU unashtukia alafu mda mda mfupi movie at least inatakiwa. Uangalie lisaa limoja na matangazo sijui ndio trlea wazipunguze waweke moja tumeamia kwenye season unaangalia moja had 30 ikiisha episode moja unataman ya pil lakn bongo uliona mwanzo tuu unajua movie nzima ikoje na mwisho itakuwaje badiliken mtakosa waangaliaj mpunguze kunywa maj ya ray mnakuwa wabaya
 
Wanaume wamekalia usharobaro hata kama ni mtu wa kijijini. Wanawake wamekalia nguo za disco ili hali wana-act as ni wafanyakazi kwenye maofisi. Subtitles makosa kibao. Uhalisia hakuna nahisi editors huwa hawajipi muda kuitathmini movie. In short kuna mabadiliko mengi sana yanahitajika kwenye industry ya bongo movie.
 
Hazina maadili hata kidogo,,
Huwez angalia na watoto
Kama uko addicted na porn unaweza zitumia kuachana na porn taratiibu mana zinakalibianakalibiana,, ni kama mvuta bangi kuhamia kwa sweet menthol ili kuacha bangi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…