Chocalate67
New Member
- Dec 13, 2016
- 3
- 2
Kuna asali iligunduliwa ina miaka 5500, pitia uzi huuNonpartisan, hata chuma kina expire sembuse asali iliyotengenezwa kwa pollens, maji, nk. Labda nipe somo japo kwa ufupi.
Tende na asali wote wale wale!Asali alaf kuna kitu kingine tende mm nahs no dugu moja
Asali ni miongoni mwa maajabubya Mungu,Kwa uelewa wangu. Kitu chochote chenye kuumbwa na kitu chenye uhai kina expiry date na kinaoza. Suala ni namna ya ku-set hiyo tarehe kulingana na uasilli wake.
Kama ni halisi haina shidaJamani naombeni mnisaidie katika hili nina asali sijatumia siku nyingi karibia mwaka sasa, je nikitumia haina madhara?