Hili tukio huwa linanichanganya sana

pauli jm

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
391
278
Wana jamvi , kuna tukio lili wai kutokea kijijini kwetu, nila kustaajabisha sana nahuwa kila nikili vikiria huwa sipati majibu kama kweli lili tokewa au ndio hadidhi lakini huwa, najikuta niki kubali kwamba lili tokea kwani nililiona.

Tukio lenyewe ni hivii kuna mshikaji mmoja bwana , alikua aki itwa ,Jose, huyu mshikaji aliondoka bongo nakwenda kuishi ,Kenya, nahuko ,Kenya, alikutana mwanamke waki kamba wakawa wa penzi.

Huyu mshikaji inasemekana, alimpenda yule ,Dem, waki kamba kwakuwa alikua na pesa nyingi nandio maana huyu mshikaji aka vutiwanae,
sasa katika kuishi. yule mshika ,Jose, akawa kamuibia yule ,Dem, pesa kisha akarudi
Tanzania.

Jose! Kweli alirudi na pesa zakutosha , Aka jenga nyumba na kujiweka sawa kimaisha kwahuku Tanzania, kwani kenya teyari asha kinukisha. Ali ishi Tz, kwamuda kama wa miezi kumi(10) . Maisha yakawa yana songa mbele , alikua nimshikaji wetu na kiukweli tulikuwa nae katika maisha yote kwa wakati mwingi. Sasa mshikaji aka anza kubadilika taratibu , mshikaji (jose) akawa haeleweki tena, mshikaji ghafula akawa "chizi".

Kama kawaida maneno ya watu tena huwezi kuya zuilia, watu waka anzisha zao , mara hawa wana sema ni bangi mara hawa wana sema karogwa na yulealie muibia, yani kila mtu ana sema lake,
Ila zaidi lililo shika na lililo semwa sana ni swaala lawizi wa (jose).
Ila sisi washikaji zake tuli chukulia poatu kwani kwa wingi wetu tuli amini ni swaala laki (sayansi zaidi)----jose,ali endelea katika hali yake ya kuwa chizi lakinibado ali kuwa ni rafiki yetu, watu wakasema sana kwamba nisisi ndio huwa tuna mvutisha bangi, ila sisi tuli chukulia nimaneno tu!

Siku moja haliya (jose)..ilikua,mbaya sana akawa chizi kisawasawa, hakuna cha rafiki wala adui.....Akachoma nyumba, na mali zake zote. Pamoja nakutaka ku (muuwa mama yake).

Watu waka mkamata na kumpeleka police, Jose, nae aka sema, kama msipo niachia basi sinto kula chakula, kwakweli )
(Jose) aka funga kabisa kula chakula, ikabifi ditu! Kumuachia , alipo rudi nyumbani tuli onana, vizuru kabisa , na kusalimiana, (jose) hakuwana tatizo lolote kama unge mtazama kwa macho kwa wakati ule ila kumbe an tatizo ndani yake (jose) ilipo vika jioni mshikaji ali amuwa kukatiza uhai wake, kwakuji nyonga , kama kawa ili bidi kukubaliana na aliile.

Siuna jua,tena kazi ya mungu huwa haina makosa.
Jose ! Alifanyiwa taratibu zote zamazishi yake, ikiwemo kupelekwa mochwari, ili kusudi , taratibu zingine zamazishi zitimie.

AJABU NI BAADA YAKU MZIKA.
==== ======= ====
Nina kumbuka tuli mzika jose, fizuri kabisa, kama mjuavyo taratibu za mazishi , kwenye tamaduni zetu , watu hupaswa ku washa moto na kuuota,kwa siku kadha kulingana na,tamaduni husika, lengo kuu la huo moto ni kile kinacho itwa kulilinda kaburi, kweli tulilinda kisawasawa.

Watu wengi ambao walikua ni washikaji wa jose wali jumuika , usiku ule wa kulilinda kaburi.
Watu waliketi karibu kabisa na kaburi, na nivijana na piakulikuwa na wazee kama,wa tatu tu!
Nakwa muda wote hapakuwa na mtu waku sinzia , wala kulala , kila mtu alikuwa macho tumuenzi J

Ila chaajabu tulishituka "kaburi" la jose lime sha chibwa, futu kama 3.
Msalaba haupo na kaburi lilikuwa Pembina yetu na tuki tazamana nalo, ila hatu jui kilicho lichimba , tena bila ya sisi kusikia hata kidogo. Ile tuna tafuta msalaba, tuka upata umbali wa mita kama kumi10 kutoka lilipo kaburi.
Tukarudi nao tukijiuliza maswali mengi mno huku tukiwa na majibu machache sana .Hamad! Ile tumefika kwenye moto tuli mkuta mwenzetu, ambaye tulikua naye yupo katikati yamoto hana hata pozi hawezi kusogea walanini , kila mtu pale kesha choka na kila mtu hana hamu nakila mtu jasiri kwa muoga ana tetemeka hatujui nini kinacho endelea wala nini kitakacho tokea.
Paka leo hakuna ajuae nini kilicho chimba kaburi nani kwanini kaburi lili chibwa?? Wala hakuna mtu ajuae nini kilicho mpeleka mwenzetu motoni.
 
umetumia lugha gani katika hii habari?

Yaan mi mwenyewe nimeshindwa kuelewa lugha aliyotumia.Nilijua ni Typing Error lkn duuh mwanzo wa habar mpk mwisho.Aisee...Embu tumwache kwanza asome alichoandika.Hakishindwa tutamrudisha grade One akajifunze Kusoma na kuandika si kwa UANDISH huu.
 
Yaan mi mwenyewe nimeshindwa kuelewa lugha aliyotumia.Nilijua ni Typing Error lkn duuh mwanzo wa habar mpk mwisho.Aisee...Embu tumwache kwanza asome alichoandika.Hakishindwa tutamrudisha grade One akajifunze Kusoma na kuandika si kwa UANDISH huu.
huenda ni mgeni wa lugha ya kiswahili au si Mtanzania!
 
Mali za dhuluma sio nzuri..hata mali zinazoambatana na ushirikina sio nzuri coz majuto ni mjukuu.
Turidhike na kidogo tunachopata kwa jasho letu, kidogo cha leo kikubwa kesho
Haba na haba hujaza kibaba
 
Mali za dhuluma sio nzuri..hata mali zinazoambatana na ushirikina sio nzuri coz majuto ni mjukuu.
Turidhike na kidogo tunachopata kwa jasho letu, kidogo cha leo kikubwa kesho
Haba na haba hujaza kibaba
Asante kwakuni elewa maana wengine wanasema nina ongea kikamba.
 
Tatizo la mwandishi mimi nimelifahamu kwa asiyeelewa atahamaki ila hongera mkuu wewe umejitahidi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…