Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,357
- 15,645
Salute Comrades!
Wanaume wenzangu njooni hapa niwape code kuhusu hawa wanawake ambao tumeusiwa tuishi nao kwa akili.
Kawaida yetu sisi wanaume tuna hulka ya kutongoza tongoza wanawake especially Kama mwanamke husika Ni anakidhi vigezo vyako.
Basi kipindi unamtongoza mwanamke Kuna hili swali ambalo lazima atakuuliza.
Swali lenyewe Ni Kama ifuatavyo ," Kwa hiyo wewe unajishughulisha na Nini maishani?"
Nina imani wanaume wengi wamewahi kuulizwa hilo swali na wanawake.
Bro sikiliza,Hilo swali hapo juu huwa haliulizwi kwa bahati mbaya Kama wengi tunavyofikiria.Hilo swali Ni la kimkakati limekaa kimtego Sana.
Jibu utakalompa ndilo litakaamua mustakabali wa mahusiano yenu Kati yako na huyo mwanamke unayemtongoza.
Mwanamke akikuuliza huwa unafanya shughuli/ kazi gani huwa anataka kujua Kama hiyo kazi in uwezo wa kukupa kipato Cha uhakika na hatimaye hutashindwa kumhudumia.Kwa hiyo hapo mwanamke anajali kuhusu financial security.
Kwa mfano mwanamke akikuuliza unafanya shughuli gani kujikimu kimaisha kisha wewe unamjibu " Mimi ni lecturer pale UDSM au Mimi Ni bank teller" walahi hapa probability ya kukubaliwa ombi lako Ni 99%.
Sababu Ni kwamba mwanamke atakuwa na uhakika wa kuhudumiwa vizuri coz tayari anajua unafanya kazi yenye mshahara mnono 😂
Wanaume kuweni makini Sana na hilo swali ambalo wanawake wanapenda kuwauliza pindi mnapowatongoza.