Hili suala la interview ya sekretarieti inanichanganya

mom abe

Member
Jun 13, 2024
10
5
Interview ya mahojiano wamesema mhusika ataenda mkoa alioomba kazi kufanya interview, je kwa wale walioomba masomo mawili na kuwekwa mikoa tofauti anatakiwa kwenda pande zote mbili au atachagua mmoja, anayeelewa anisaidie tafadhali!
 
Naamini utapata majibu ya kuridhisha. Mungu awasimamie pia kwa vyovyote itakavyokuwa.
 
Interview ya mahojiano wamesema mhusika ataenda mkoa alioomba kazi kufanya interview, je kwa wale walioomba masomo mawili na kuwekwa mikoa tofauti anatakiwa kwenda pande zote mbili au atachagua mmoja, anayeelewa anisaidie tafadhali!
Ilikuwa ukiomba mara moja system inajaza nafas zote automatically nahisi ni mkoa wa kwanza ndio unaoangaliwa ila huu utaratibu sekratariati ya ajira wameona kipi muhimu mpaka kuja na utaratibu huu? Wanataka ku achieve kitu Gani?
 
Hata Mimi najiuliza

Niliomba kazi mkoa X
Employer inaonesha mkoa Y
Nitafanya interview mkoa upi?

Given that: Nitafanya interview mkoa nilikuwa nimeomba kazi.

Nitafanya kazi mkoa nilipopata mwajiri Y
AU Mkoa nilikoombea kazi X
 
Suala la kuomba mkoa X na kupangiwa mkoa Y ni geni ila ipo hivi.

Mkoa unapoitwa ni ule ambao uli-bofya wakati unafanya maombi ya kazi. Haijalishi kwenye barua yako umeandika vinginevyo. Mfano barua yako umaandika kuwa unafanya maombi mkoa wa Manyara. Kisha kwenye mfumo wa maombi ulienda uka-bofya mkoa wa Arusha basi itahesabika maombi yako ni mkoa wa Arusha na si vinginevyo.

Pia kuwa makini sana, nenda karipoti kule ambapo mfumo umeandika maana ndiPo taarifa zako za usaili zilipo ukifanya vinginevyo utakuja kujutia, otherwise ufanye mawasiliano na PSRS wakubadilishie na uhakikishe kwenye akaunti yako kuna mabadiliko.

Huu usaili ni golden chance, maana baada ya usaili wale waliofaulu watapangiwa vituo vya kazi, na watakaobaki kwa uchache wa nafasi watabaki kwenye kanzidata(database), serikali ikiwa na uhitaji itawapangia vituo vya kazi pasipo kufanya tena usaili, huenda ajira nyingine kama hizi zikatangazwa 2027.
 
Fuata ya employer mengine achana nayo.
 
Kwenye personal profile yako sehemu ya current residents region and current residents district wanazingatia ilo so better uchange mapema sehemu uliyopo
 
Interview ya mahojiano wamesema mhusika ataenda mkoa alioomba kazi kufanya interview, je kwa wale walioomba masomo mawili na kuwekwa mikoa tofauti anatakiwa kwenda pande zote mbili au atachagua mmoja, anayeelewa anisaidie tafadhali!
lisikuchanganye hili pambana kwanza upite written interview.......maana bila hii oral.utaisikia kwa jiran.
 
Kwenye personal profile yako sehemu ya current residents region and current residents district wanazingatia ilo so better uchange mapema sehemu uliyopo
Kwan c majina yameshatoka, kwahy akichange ndio majina mengine yatatoka kulingana na alivyobadili au?
 
Suala la kuomba mkoa X na kupangiwa mkoa Y ni geni ila ipo hivi.

Mkoa unapoitwa ni ule ambao uli-bofya wakati unafanya maombi ya kazi. Haijalishi kwenye barua yako umeandika vinginevyo. Mfano barua yako umaandika kuwa unafanya maombi mkoa wa Manyara. Kisha kwenye mfumo wa maombi ulienda uka-bofya mkoa wa Arusha basi itahesabika maombi yako ni mkoa wa Arusha na si vinginevyo.

Pia kuwa makini sana, nenda karipoti kule ambapo mfumo umeandika maana ndiPo taarifa zako za usaili zilipo ukifanya vinginevyo utakuja kujutia, otherwise ufanye mawasiliano na PSRS wakubadilishie na uhakikishe kwenye akaunti yako kuna mabadiliko.

Huu usaili ni golden chance, maana baada ya usaili wale waliofaulu watapangiwa vituo vya kazi, na watakaobaki kwa uchache wa nafasi watabaki kwenye kanzidata(database), serikali ikiwa na uhitaji itawapangia vituo vya kazi pasipo kufanya tena usaili, huenda ajira nyingine kama hizi zikatangazwa 2027.
Nadhani hujaelewa.

Mfano kwa waalimu, unakuta ameomba masomo mawili na kwenye application zake amekuta kuna mikoa miwili tofauti kama waajiri.
Sasa akiitwa usaili ataenda mkoa gn?
 
😀😀😀2027 mkuu
unamaanisha magu kafufuka??
Mama amesema kila mwka ataajiri walimu na afya na kada zingine

Kwani kwa wakati huo muda wa usahili ni mmoja au tarehe mbili tofauti Mbaga Jr
 
Nadhani hujaelewa.

Mfano kwa waalimu, unakuta ameomba masomo mawili na kwenye application zake amekuta kuna mikoa miwili tofauti kama waajiri.
Sasa akiitwa usaili ataenda mkoa gn?
Itategemea na kwenye Account yako sehemu ya personal profile upande wa current residents region and district umejazaje, Kwa izi sail za saiv kufanya sehemu uliyopo na sio sehemu uliyoomba
 
Sawa, ngoja tuone japokuwa tayari watu wa afya wameanza kulalamikia hy ishu.
 
Back
Top Bottom