6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,798
- 5,968
Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua.
Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi itapigwa kura ambapo viongozi wataoongoza mkutano huo ndio watapiga kura kuchagua chaguo moja ambalo wahusika hawatokuwa na jinsi isipokuwa kufuata lile chaguo litakalochaguliwa na wengi.
CHAGUO LA KWANZA:
1) M23 wote wanyang'anywe silaha zote kwa nguvu, huku Rwanda ikishirikishwa pakubwa katika unyang'anyaji huo.
2) Waasi wa kihutu ambao waliendesha mauaji ya watutsi na kukimbilia Congo wasakwe, wakamatwe hata kwa nguvu na kurudishwa Rwanda, ili wakajibu mashtaka ya kuwachinja wanyarwanda wenzao (watutsi) bila huruma, aibu wala hofu yoyote ya Mungu. Lakini kesi hiyo iendeshwe na vyombo vya sheria vilivyohuru ikiwemo ICC ili kupunguza uonevu kwa wale ambao watakutwa hawakuhusika na mauaji hayo.
3) Mpaka kati ya Congo na Rwanda ulindwe na jumuia ya kimataifa kwa muda wa miaka angalau 5, ili kuhakikisha kua hakuna tena muhutu atakae kimbilia Congo kukwepa mkono wa sheria, au mwanajeshi yoyote wa Rwanda ataevuka boda kupeleka silaha kwa kundi la M23 huko Congo.
CHAGUO LA PILI:
1) PAKA na Tshisekedi wafungiwe katika chumba kimoja ambacho hakina silaha yoyote wachapane 😂😂😂 atakaefanikiwa kutoka salama 💪 ndio atakuwa mshindi na kukabidhiwa jiji lote la Goma.
2) Mpaka kati ya Congo na Rwanda ulindwe na jumuia ya kimataifa kwa muda wa miaka angalau 5, ili kuhakikisha kua hakuna tena muhutu atakae kimbilia Congo kukwepa mkono wa sheria, au mwanajeshi yoyote wa Rwanda ataevuka boda kupeleka silaha kwa kundi la M23.
Je mkuu ukipewa nafasi ya kuchagua chaguo moja utachagua lipi kati ya hayo mawili?