Taatifa hizo za kuuza minara chanzo chake ni kipi?Wadau nimepata taharifa kuwa hii kampuni inauza hisa, kiwango cha chini ni hisa 100 kwa 85000...
Je kwa uelekeo wa uchumi wetu na kampuni husika hizi hisa zinaweza kuwa na tija? Je kuna uwezekano wa hii kampuni kukua zaidi ya hapa, maana mpaka sasa kuna taharifa kuwa minara yote washauza..ofisi zote wamepanga, je fixed assets ni zipi walizonazo ikitokea kampuni inafirisika?
Taatifa hizo za kuuza minara chanzo chake ni kipi? Au umesikia toka kwenye hiyo minara
Asante mkuuMuuliza swali pitia Waraka wa matarajio (Prospectus);Upate maarifa zaidi.Pili hii ni kampuni ya mawasiliano/Huduma,haipaswi kuwa na assets nyingi za Majengo au minara,assets zake ni technology na goodwill.Miamala ya fedha inayohamishwa inaleta pesa.Kumbuka huko nyuma watu walidhani mabenki tunayahesabu ukubwa kwa majengo,kumbe ni Assets zilizopo benki kuu.Umewahi kujiuliza Kampuni kubwa kama Microsoft inamilki majengo mangapi?
Basi sawaPiá kwa taarifa yako tu mtoa Post. Miamala inayofanywa na mpesa ya Vodacom kwa siku hakuna benki yyte inayoweza kuifikia kwa africa mashariki kwa siku. So huu ni mtandao mkubwa ambao suala lá kufirisika utaliskia kwa kuongopewa Tu.
Mboni unatoa taarifa za uongo kuhusu voda???? Aliekwambia wameuza minara nani? aliekwambia imefilisika nani? Tafadhari usiseme kitu kama huna uhakika na hicho kitu.
Ipo hivi ni matakwa kisheria kwa kampuni za cmu kuuza hisa zake ili wananchi wawe sehemu ya umiliki hivyo ktendo cha voda kuuza hisa haimaanishi imekaribia kufa au haina mtaji. Ni matakwa kisheria ndo maana wanafanya hvyo. Bilioni 520 sawa na 25% tu. Ya mtaji wao ndo wanauza hisa ili wananchi wawe sehemu ya umiliki wa kampuni hyo 75% iliobaki wao ndo wanamiliki sasa ukisema wanafilisika unakosea Sana mkuu.
Jitahidi uwe unauliza watu b4 kupost habari yyte... Maelezo zaid kuhusu hili la hisa ni pm ntakupa kila ktu kihusucho hyo ktu.
Kima cha chini cha kununua hisa ni hisa 100, ambapo hisa moja itauzwa sh 850, kumbe basi, kima cha chini ambacho mtu atanunua anapaswa kuwa na sh elfu themanini na tano(85,000), Vodacom wanauza hisa million 560,mwananchi mmojammoja mwisho kununua ni hisa ngapi?
hisa zote zinakuwa kama 500bln. je mtu mmoja anaweza nunua zote au kuna ukomo?Kima cha chini cha kununua hisa ni hisa 100, ambapo hisa moja itauzwa sh 850, kumbe basi, kima cha chini ambacho mtu atanunua anapaswa kuwa na sh elfu themanini na tano(85,000), Vodacom wanauza hisa million 560,
Ngoja Nianze hesabu zangu hapa,Mboni unatoa taarifa za uongo kuhusu voda???? Aliekwambia wameuza minara nani? aliekwambia imefilisika nani? Tafadhari usiseme kitu kama huna uhakika na hicho kitu.
Ipo hivi ni matakwa kisheria kwa kampuni za cmu kuuza hisa zake ili wananchi wawe sehemu ya umiliki hivyo ktendo cha voda kuuza hisa haimaanishi imekaribia kufa au haina mtaji. Ni matakwa kisheria ndo maana wanafanya hvyo. Bilioni 520 sawa na 25% tu. Ya mtaji wao ndo wanauza hisa ili wananchi wawe sehemu ya umiliki wa kampuni hyo 75% iliobaki wao ndo wanamiliki sasa ukisema wanafilisika unakosea Sana mkuu.
Jitahidi uwe unauliza watu b4 kupost habari yyte... Maelezo zaid kuhusu hili la hisa ni pm ntakupa kila ktu kihusucho hyo ktu.
Hakuna ukomo kwenye IPO, mtu anaweza nunua hisa Mara nyingi atakavyo, baada muda uliowekwa kuisha ambao ni wiki sita tangu kutangazwa kuuzwa, baada ya hapo wanaingia kwenye kipindi cha allotment, ambapo wataangalia nani kanunua hisa ngapi, na je upewe zote, au upewe chache, na kama wataamua wakupe chache, basi pesa yako utarudishiwa ile itakayozidi(refunded)hisa zote zinakuwa kama 500bln. je mtu mmoja anaweza nunua zote au kuna ukomo?
Navoskia Mpesa ni kama kikampuni chengine kinachojitegemea ambapo kipo chini yao,lakini hisa zinazouzwa ni za voda pekee sio MpesaPiá kwa taarifa yako tu mtoa Post. Miamala inayofanywa na mpesa ya Vodacom kwa siku hakuna benki yyte inayoweza kuifikia kwa africa mashariki kwa siku. So huu ni mtandao mkubwa ambao suala lá kufirisika utaliskia kwa kuongopewa Tu.
Correction ni hisa 560m. Nã sio 520b. Kama awali nlivo type. Kwahyo ukpga hesabu jumla ya hisa mara gharama ya hisa unapata 4.76billion. Na hyo ni .25 ya mtaji wao so ukizungumzia kufilisika kwa hii kampuni ni ndoto. By the way voda wameanza the rest watafuataMboni unatoa taarifa za uongo kuhusu voda???? Aliekwambia wameuza minara nani? aliekwambia imefilisika nani? Tafadhari usiseme kitu kama huna uhakika na hicho kitu.
Ipo hivi ni matakwa kisheria kwa kampuni za cmu kuuza hisa zake ili wananchi wawe sehemu ya umiliki hivyo ktendo cha voda kuuza hisa haimaanishi imekaribia kufa au haina mtaji. Ni matakwa kisheria ndo maana wanafanya hvyo. Bilioni 520 sawa na 25% tu. Ya mtaji wao ndo wanauza hisa ili wananchi wawe sehemu ya umiliki wa kampuni hyo 75% iliobaki wao ndo wanamiliki sasa ukisema wanafilisika unakosea Sana mkuu.
Jitahidi uwe unauliza watu b4 kupost habari yyte... Maelezo zaid kuhusu hili la hisa ni pm ntakupa kila ktu kihusucho hyo ktu.
Hapana. mpesa inamilikiwa na voda 100% isipokuwa mpawa ni ya CBA Bank ya kenya ndo wameingia ubia nao so voda wapo kama agent tu kwenye hyo mpawa.Navoskia Mpesa ni kama kikampuni chengine kinachojitegemea ambapo kipo chini yao,lakini hisa zinazouzwa ni za voda pekee sio Mpesa