BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,797
- 12,954
Tuvumiliane sisi wengine hatuna watu wa kushare nao visanga tunavyopitia in real life so tukiwa na dukuduku, huzuni na hata furaha sehemu ya kwanza tunayoifikiria kuwasilisha yaliyo moyoni ni hapa JamiiForums.
Kuna dogo ndiye inchaji wa mahali nilipojishikiza ana power ya mamlaka japo ni mdogo kiumri lakini wote tunafuata maagizo yake. Juzi kati jioni baada ya kumaliza vipengele vyangu nikapanga kubuy time kwa kukaa ofisini kwa kudownload muziki na movie at the same time kusubiria raia wapungue kwenye Mwendokasi.
Nilikuwa nimebaki pekee yangu baada ya dk kadhaa huyo inchaji yangu akaingia akaniuliza kama naondoka nikamwambia hapana kuna ishu nasikilizia nitaondoka baadaye akampigia simu demu wake na kumwambia aje ofisini amebaki pekee yake.
Akaniambia nimpishe kuna demu anakuja eti akinikuta ataona aibu binafsi nikaona ili ni bonge la dharau kwa maana ofisi ipo jengo ambalo floor nyingi zipo wazi unaweza kwenda popote na demu mkapata sehemu nzuri mkakaa na kupiga stori na mkamalizana vizuri tu nikaplay cool nikatoka.
Sasa nimeenda sehemu nimesikilizia kwa muda fulani nikampigia simu kwa lengo la kummuliza kama huyo Manzi ameshatoka ili niendelee na kile nilichokuwa nafanya mwamba hajapokea ni kawaida yake kutopokea nikajua tayari kashasepa nikarudi ofisini nakuta mlango umefungwa na taa zimezima sikutaka kufungua sababu funguo ninazo nikaenda toilet mwamba ananipigia ananiambia bado yupo.
Nikaona hapa mambo yashakuwa mengi bora nichukue vitu vyangu nisepe sijakaa sawa naona kidemu cha kufanya usafi kinatoka ofisini kwa kujishutukia nikasema tayari mtu kaliwa naingia ofisini nasikia harufu za ajabu kochi letu la wageni limevurugika nikaona hili jamaa ni bonge la bogus ishu si kuchapa demu ila mazingira uliyomchapa huyo demu umekula mzigo sehemu ambayo kuna watu wazima karibia kumi wanaotegemea kupata riziki ya kuendesha maisha yao wakati ulikuwa na option kibao.
Jambo la kusikitisha zaidi inaonekana jamaa ndio michezo yake maana kila siku ni wa mwisho kutoka kwa madai kuwa anasubiri foleni ipungue.
I'm not comfortable anymore kukaa sehemu ambayo watu wamegeuza gesti kwa vile nina njaa inabidi nijikaze uzuri kazi zangu nyingi ni za field basi ile ofisi nitakuwa naonekana kwa manati.