Oppo A17k JF-Expert Member Apr 1, 2020 818 2,407 Dec 8, 2023 #1 Mambo yanazidi kuwa mazito waTanzania gharama za maisha zinapanda siku hadi siku. Sijui sisi wa hali ya chini kama tutaweza kumudu haya maisha Attachments sw-1702037457-NAULI MPYA ZA MABASI YA MASAFA MAREFU-LATRA 08.12.2023.pdf 2.7 MB · Views: 9
Mambo yanazidi kuwa mazito waTanzania gharama za maisha zinapanda siku hadi siku. Sijui sisi wa hali ya chini kama tutaweza kumudu haya maisha
Extra miles JF-Expert Member Apr 18, 2018 3,643 4,947 Dec 9, 2023 #3 Daladala nao wameongeza sh 100 katika nauli za awali
R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 44,217 82,359 Dec 9, 2023 #4 Ongezeko kubwa wallah! Walaaniwe wote waliohusika