Hili halijasemwa sana na huyu ndio Magufuli

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Tulitangaziwa kwa kipindi kama miezi mitatu au minne hivi kwamba kuanzia sasa madeni ya umeme kwenye taasisi za serikali au umma yatabebwa na kulipwa na hazina moja kwamoja.

Utafiti wangu umegundua kuwa kwa kiasi kikubwa madeni hayo yamelipwa na sasa utaratibu wa kulipiwa umeme unaendelea.
Magazeti yetu hayataweza kuripoti hili....
Kuna wambea walihoji makusanyo yanatumikaje??
Kuna wana figisufigisu waliokosa hoja waliuliza ati TANESCO kushusha bei watajiendeshaje??

Na maswali meengi ya kipolisi alimradi tu tuuze sura ITV na Channel 10 ...
Sasa haya ndiyo yale ya kimya kimya yanayompa Rais Magufuli asilimia za kukubalika nyingi mbele ya watuwote mashuhuri na wasio mashuhuri.
Tunaisubiri Julai tuanze kuonja maziwa na asali hata kabla yakufika nchi yenyewe....

#HAPAKAZITU
 
Wale wenzetu hawa ukawa. Wanajaribu kila mbinu ili kukwamisha serikali. Wanajaribu kujitoa ufahamu lakini bahati mbaya Magufuli kawapa za uso.

Hatutaki mikutano ya siasa nje ya bunge na nje ya jimbo lako.

Zaidi ya hapo ni kuchapwa virungu.
 
Hivi ni vitu muhimu sana ambavyo tulivikosa kwamiaka takribani kumi na ushehe....baada ya mafisadi kuzitafuna hizi fedha na mafisadi hao ndio tunaopambana nao mwanzo mwisho wawe ndani ya CCM au kwenye lile chaka lao la Ukiwa!
 
Tumeondoa foleni Dar ndani ya siku 100!!kwi kwi kwi....

by the way kasome ilani ya CCM kuhusu elimu halafu urudi hapa.

Najua inawauma sana kuona madawati yanachongwa kila kona ya taifa hili.

swissme
 
Wale wenzetu hawa ukawa. Wanajaribu kila mbinu ili kukwamisha serikali. Wanajaribu kujitoa ufahamu lakini bahati mbaya Magufuli kawapa za uso.

Hatutaki mikutano ya siasa nje ya bunge na nje ya jimbo lako.

Zaidi ya hapo ni kuchapwa virungu.

So you mean the current system is perfect??
 
Tumeondoa foleni Dar ndani ya siku 100!!kwi kwi kwi....

by the way kasome ilani ya CCM kuhusu elimu halafu urudi hapa.

Najua inawauma sana kuona madawati yanachongwa kila kona ya taifa hili.

Haiumi tatizo ni kuminywa kwa demokrasia

Hasa kuingilia Uhuru wa bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…