Hili Gazeti liombe radhi kwa umma na kwa Mh. Magufuli

Hilo gazeti litakuwa ni uhuru, magazeti makini kama mwananchi, Tanzania daima, majira, RAIA mwema huwezi kukuta makosa ya namna hiyo
 
Hahahahahaaaa

Mwandishi na mhariri walikuwa wamekula viloba tu
 
Mwandishi kafanya makusudi. Maanake yake hapo ni kuwa Magufuli ndio kaamua matokeo ya uchaguzi Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…