Hili gazeti la udaku limetisha,diamond,zari,wema ni shida

Wabongo bwanaa, yani Babu akitembea na binti siyo tatizo..
Lakini sisi vijana tukitembea na ajuza tatizo..!!

Na ukitembea na rika lako ambaye ni mwanafunzi unapewa kesi ya ubakaji..

Mbona mnatuonea sana sisi vijana? Kwani sisi ndo hatutaki kubadilisha ladha?
Eboooooo!!
 
Haaaahh itabidi tuendelee kuipigia chapuo ile kauli mbiu ya 50:50...
 
Mkuu tuungane kupigania haki za wanaume teh teh!
 
Ndio maana na uzee wote huu navibabua tuu tena kinomanoma
Magazeti ya udaku na stori za kuuza magazeti,leo timu zetu pendwa zote zimepewa za uso hakuna wa kumcheka mwenzake.View attachment 352728
 
hahaaaa, ukitembea na kijana umebaka, ukifuata watu wazima nayo ni issue, nashindwa kuelewa
 
kubemenda hakutakiwi hati!! lakini acha watest mayai yao kama yanafanya kazi , maana wanataka shoo kali ambazo sio za kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…