Hili gari kwenye msafara wa Rais Samia lina kazi gani?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,315
5,052
Hili gari limeonekana kwenye msafara wa Rais Samia, kwa wale wajuzi wanaweza kufafanua umuhimu wake kwenye msafara wa Rais?

Msafara.png
 
Mbona hata Shabiby na Kimbinyiko zina vyoo?

Baba yake na Rais Assad wa Syria alikuwa na ziara ufaransa, waisrael wakajua hotel na chumba atakachofikia, wakafanya manuva wakapata kinyesi chake, wakafanya analysis ya kimaabara, wakajua ana kansa, na wakajua anaweza kufa lini.

Mambo ya kiza ni mengi, ila wewe unajua jua ni la kuanikia nguo tu, na usiku ni wa kulala tu
 
😂😂🤣🤣😂😂Tanzania Wajinga Ni Wengi
 
Back
Top Bottom