kuna majibizano yanayoendlea mitandaoni kat ya soulja boi na chriss brown , ni bifu la kwel ama ni kiki kama za wasanii wetu wa kibongo.imefikia mpaka watu wenye uchum mkubwa kama floyd na 50 wakionekana kumsurpport soulja boy , mbali na matangazo ya pambano lao.