Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 273
- 459
Wakuu
Ulishawahi kuwa na wafanyakaz wenzako mlioshibana kabsa mnapiga story na kuambiana mambo mengi sana ila kumbe wafanyakaz wenzako wanakukubali kwa sabab tuu boss anakukubal hata ukisema kitu wanahofia kukujibu kwa sababu tuu boss anakukubali
Ila siku ikitokea boss akaanza kukukataa hata ukisema kitu cha kwel kabsa na haki wafanyakaz wenzako watakujib shortly na kwa dharau kwa sabab deep down wanajua hukubariki kwa mnene na wana uhakika huna chochote cha kuwafanya na ofisini hautoboi mda wowote hautakuepo
Sasa hiko ndo anachopitia jamaa yetu,anaweza kuwa anasema kwel lakin who cares zaidi wanamuona anawapigia makelele tuu maana tayari wanajua hata akiamua kurudi kuchukua kiti hatoboi
Hyo sasa ndo UBAYA UBWELA