Hiki kitanda kinaweza kutengenezwa hapa Tanzania?

The Spirit of Tanzania

JF-Expert Member
Mar 7, 2020
1,027
1,840
Amani iwe nanyi wapendwa;

Naomba kujua kama kuna fundi anatengeneza kitanda cha aina hii hapa Tanzania na bei yake pia;

2620234_20201120_160605.jpg
 
Wanatangeneza fasta tu, tembelea keko kuna vitu pale huwezi amini kama vinatoka Tanzania.
 
sio kweli, hivi vitanda vinauzwa 3m mpaka 4.5m
Achana na vile vya kwenye maduka makubwa ya furniture ambavyo unauziwa na kitanda chake vilivyoagizwa toka nje.

Me nazungumzia ambacho unatengenezewa hapa hapa na mafundi godoro unaweka lako.
Kama ulinunua kwa bei hiyo basi umepigwa tena umepigwa parefu.
Hicho unatengenezewa hapa hapa tena kwa material quality na jumla ya gharama za material haizidi lak 4.
 
Back
Top Bottom