Hiki kipindi cha mvua kina baridi hatariii

Gatabhanya

JF-Expert Member
Nov 16, 2024
1,092
2,250
Za asubuhi waungwana.

Hiki kipindi kinahamasisha mgegedo walio kwenye ndoa kipindi hiki wanatupiga bao kwa maana wao mgegedo ni uhakika.

Lakini kwa sisi kataa ndoa hali ni mbaya demu unampanga hapangiki akija leo kurudi tena hadi wiki ipite nataka nirudi kwenye mrenda wa uvuguvugu.

Hali ni mbaya mdada anayesumbuliwa na baridi aje tuzungumze pm.
 
Za asubuhi waungwana.
Hiki kipindi kinahamasisha mgegedo walio kwenye ndoa kipindi hiki wanatupiga bao kwa maana wao mgegedo ni uhakika.
Lakini kwa sisi kataa ndoa hali ni mbaya demu unampanga hapangiki akija leo kurudi tena hadi wiki ipite nataka nirudi kwenye mrenda wa uvuguvugu. Hali ni mbaya mdada anayesumbuliwa na baridi aje tuzungumze pm.
Muwe wavumilivu hadi kauli yenu ya KATAA NDOA ikomae vizuri. Mola awarehemu.
 
Back
Top Bottom