Hiki Chuo kinafundisha nini kwa hii ada

gammaparticles

JF-Expert Member
Jan 9, 2024
1,407
3,843
Kumbe kuna vyuo vinazidi hata ada ya IST Tanganyika


1723915764390.png
 
Kuna mwanamziki sikumbuki nani aliimba ".🎶...kama elimi ghalama jaribu ujinga....🎶"

Labda ni rare knowledge/ talent wanafundisha, ukitoka hapo ni swala la muda tu unaingia kwenye mfumo wa upigaji.
 
Back
Top Bottom