Female soldiers in the US Army will now be allowed to wear the hijab — just as long as it is made from flame-resistant material.
New regulations will allow soldiers to wear turbans, beards and hijabs in most circumstances unless the head coverings present a "specific, concrete hazard ... that cannot be mitigated by reasonable measures".
The rules say hijabs and turbans must be made from "a subdued material in a colour that closely resembles the assigned uniform" or, if the soldier is wearing combat gear, camouflage material. Personnel can be ordered to use fire-resistant cloth.
Kinachowasumbua ni nini hasa juu ya Marekani na uislamu! Sijajua motif yako mtoa mada, please at least say anything in relation to our country Tanzania.
Kinachowasumbua ni nini hasa juu ya Marekani na uislamu! Sijajua motif yako mtoa mada, please at least say anything in relation to our country Tanzania.
Mkuu mtoa mada hajakosea.hii ni international forum zipo habari nyingi tu humu kwanini wewe unahisi kuna Kitu anataka kuzungumzia juu ya uislam na marekani?
Nahisi labda wewe ndo utakuwa na Kitu lakini si kwa mtoa mada.

Ni Kitu kigeni kwa marekani mkuu wanajeshi hawakuruhusiwa kuvaa hijab. Otherwise sioni ubaya hii ni habari tu na imeripotiwa na vyombo vingi tofauti na JF kwanini ionekana kuwa si habari kwa kuwa tu imeletwa hapa JF?
Tanzania yetu Haian Dini ila watu wake wana imani zao.. na ruksa kwa yeyete kuabudu chochote bila ya kubugudhiwa... kwisha. huwezi issue za serikali kaa Bench.